Mwenye uzoefu mishahara ya TPSC INARANGE VIPI

Mwenye uzoefu mishahara ya TPSC INARANGE VIPI

Abdul2002 usiwaze wewe nenda kapige kazi mishahara utapanda mbele kwa mbele
 
Abdul2002 usiwaze wewe nenda kapige kazi mishahara utapanda mbele kwa mbele
mkuu kujua ni jambo muhimu sana ili kuangalia na kufanya analysis ajira sio msaada unaprovide input na mshahara ni output kwang mimi vitu muhimu kwangu ni mshahara plus je hiyo sehemu itaikuza career yangu kama unajua itakuwa vyema ukinisaidia
 
Back
Top Bottom