Mwenye uzoefu hapa naomba kusaidiwa

Mwenye uzoefu hapa naomba kusaidiwa

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
2,139
Reaction score
3,228
Hi wana Jf mimi sio mzoefu sana na hizi Sound Bar nimekuja kwenu ili niweze kupatiwa kitu makini zaidi kati ya hizi hapa kampuni mbili ipi iko vizuri zaidi ili niweze kuweka sebuleni kwangu.

IMG_2184.jpg

Hii ni Samsung Sound Bar HW-R450 2.1 200w.

IMG_2182.jpg

Hii ni Sony HT-RT3 5.1 600w.

Naombeni muongozo wenu wadau.
 
Zote hapo hazina ubaya... Ila itapendeza kama ukichukua ya watts 1500

Cc: mahondaw
 
Hi wana Jf mimi sio mzoefu sana na hizi Sound Bar nimekuja kwenu ili niweze kupatiwa kitu makini zaidi kati ya hizi hapa kampuni mbili ipi iko vizuri zaidi ili niweze kuweka sebuleni kwangu.

View attachment 1643405
Hii ni Samsung Sound Bar HW-R450 2.1 200w.

View attachment 1643406
Hii ni Sony HT-RT3 5.1 600w.

Naombeni muongozo wenu wadau.
SONY kama unataka soround system yenyewe ni 5.1 hivyo utatenganisha hizo speaker kwa sauti nzuri toka pande zote.

Samsung kama unataka ambayo itakuwa integrate na TV, kushare remote, na kuiongezea capability Tv yako.
 
Ahsante , kutokana na pesa yangu nimechukua Samsung tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom