Mwenye uwezo ya kupata mawe haya tuwasiliane

Mwenye uwezo ya kupata mawe haya tuwasiliane

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,543
Reaction score
138,519
Nahitaji ruby ya longido(high caboshon)
Napia Nahitaji Mawe Aina iolite Kutoka babati(high caboshon)size kuanzia grm 10 kwenda juu Nna order nazo sana....kama kuna mtu Ana idea,anajishugulisha na biashara hii tuwasiliane tuyajenge tupige hela
0715591141.....mawasiliano yangu hayo

Ova
 
Ngoja nikayachungulie ninahoamini ntayakuta.....ntarudi......
 
Iolite bei ya Kununua high caboshon kg 1 ni 30000/ size ianzie grm 10 kwenda juu,rangi iwe deep

Ova
 
Back
Top Bottom