Kama una IMEI number za hio simu nenda nazo polisi watakusaidia. Huku kwingine probability Ni 50% 50%
Ila akiiwasha tu inasoma. Yani hata aiflash sim ikiwaka anapatkana😊Hyo IMEI namba akiizima simu haisomi
Ila akiiwasha tu inasoma. Yani hata aiflash sim ikiwaka anapatkana![]()
hawa charge mane hao afisa??Kama una IMEI number za hio simu nenda nazo polisi watakusaidia. Huku kwingine probability Ni 50% 50%
Habar mkuu vp ushapata msaada au ? kama hujapata niPm tufanye kaziHabar wakuu niko Arusha nilipata mtihani wa kuibiwa simu aina ya redmi note 9s kwa mwenye uwezo wa ku track ama mwenye kufahamiana na mtu wa aina hyo msaada tafadhali.
hawa charge mane hao afisa??
Amesema kutrack sio kumroga mwizi!!Mkuu upo Arusha sehemu gani? Kama unaweza njoo Pm nikupe maelekezo
Yeah kubadilisha IMEI number inawezekana very simple kwa anaefahamu, Ila sio kwa WEZI wa Tanzania na Afrika kwa ujumla hasa hawa wezi wa mtaani. Naamini hao vibaka hawawezi kubadili IMEI 😊Hzo habari za Imei # toa hakirin mkuu, Inaeza kubadilishwa simpletu ma brocka wa IT wapo mtaan na wanyabi wengine wanazichench chap
Sent using Jamii Forums mobile app
Me sina hamu na vibaka wa bongo aisee, niliibiwa simu mwaka Jana mwezi wa 8 trh 23 nimekuja kuipata mwaka huu mwezi wa 3 trh 10
Wanaizima Kwa muda mrefu kidogo ili kukukatisha tamaa ya kuifatilia, ata kama ulikuwa na moto kiasi gani utaanza ratiba za simu ingine Tu, na kama issue ilikuwa ni vitu ndani ya simu unakuwa ushaghairi ata kuvipata
Haiwezekani uendelee kuiwazia simu ambayo haipo hewani Kwa miez 4, kila ukimuuliza poti anakwambia Ngoma haisomi brooo kuwa mvumilivu, ukikata tamaa wewe anakata tamaa na mfatiliaji pia, au ukikata tamaa wewe poti anaendelea kuifatilia kimya kimya then inakuwa Mali yake
Jaribu polisi, jiandae kuzungushwa
Habar mkuu vp ushapata msaada au ? kama hujapata niPm tufanye kazi
Unajidanganya weweIla akiiwasha tu inasoma. Yani hata aiflash sim ikiwaka anapatkana😊