Mwenye uwezo wa ku track simu msaada

Mwenye uwezo wa ku track simu msaada

Kwa kifupi kuna baadhi ya cm chache sana ambazo haziwezi badilishiwa imei kama vile iphone na baadhi ya Samsung zinazoishia na s kwa mfano Samsung A02s kwa cm zingine ni hua zinawezekana kubadilishwa
 
Mi ni mwezi wa tatu huu mwanzoni nilikuwa nikiingia kwenye mi cloud wanasema device is switched off
Ndio hivo mkuu, wanaizima Kwa muda mrefu Sana alafu ikija kuuzwa ujue anauziwa mtu wa mkoa mwingine na tukio, ni mara chache sana itaendelea kutumika mkoa ule ule
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Kama unafahamu taarifa za mi account na uliweka on kipengele cha find my device. Jaribu kupita humo uone simu ipo wapi. Huku ukifanya na jitihada zingine.

Ukiona waweza i block kabisa. Huyo mwezi nae apate shughuli kidogo.

Find my device inaniambia your device is switched off
 
Nimejidanganya wapi mkuu nijirekebishe?
Ili iweze kuonekana ni lazima mhusika aweke rain ambayo ipo activ hapo ndipo itaanza kusoma lkin bila kuweka cm card haiwezani kusoma lbda iwe na kifaa maalum cha kusoma GPS hapo hata bila kua on inasoma tu ilipo
 
Kama unafahamu taarifa za mi account na uliweka on kipengele cha find my device. Jaribu kupita humo uone simu ipo wapi. Huku ukifanya na jitihada zingine.

Ukiona waweza i block kabisa. Huyo mwezi nae apate shughuli kidogo.

Hiyo kazi ni ndogo sana kuna jamaa anaitwa unlimited mult tool UMT kwa hizo qualcom anaptanaz kam anacheza tu hivyo data za account haziwez kubaki
 
Back
Top Bottom