Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Usilo lijua ni usiku wa Giza, mlimchezea Sana kikwete na maigizo yenu kuharibia watu waliokua kinyume nanyi, Magufuli si wa kivile, Kila shutuma vijana wanaingia kazini kuchunguza Kisha kutoa Matokeo yasio Shaka.Inauma na inatia uchungu na inajenga ubaguzi na haileti umoja wa kitaifa na ule uzalendo fake unajenga daraja kubwa la ubaguzi mbeleni
Kuna uwezekana mkubwa sana raia kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa baadhi ya watu ni miungu watu hawakuswi zaidi kupandishwa vyeo.
Kama ndio iko ivi ni mangapi yatafanywa ili watu wapate hivyo vyeo?
Makonda kashfa tele ndo anapendwa, Gambo kachoma hadi shule nae kapanda cheo na mnyeti kashfa ya rushwa kapanda.
Inamaana hii serikali italeta umwagaji mkubwa wa damu.
Muda ni mwamuzi mzuri.
Jana alijitokeza kukiri kwa kuwa alishaambiwa anapandishwa cheo, kwa kiburi akibidi aseme wazi wazi. Kama mnakumbuka alitaka kuhojiwa akadai anaumwa jino.
Na hadi leo hajawai kuitwa wala kuhojiwa na tume ya maadili au takukuru
Ukiwa na akili binafsi za kupepo lazima uone kila kitu usiku wa gizaUsilo lijua ni usiku wa Giza, mlimchezea Sana kikwete na maigizo yenu kuharibia watu waliokua kinyume nanyi, Magufuli si wa kivile, Kila shutuma vijana wanaingia kazini kuchunguza Kisha kutoa Matokeo yasio Shaka.
Siasa maji taka hazina nafasi awamu ya tano, take care!
Jidanganyeni kujichukulia sheria mkononi muone Madhara yake, mtajuta kuzaliwa
Endelea kuona usiku wa GizaUkiwa na akili binafsi za kupepo lazima uone kila kitu usiku wa giza
Kwani ulitakaje mkuu !! ???Inauma na inatia uchungu na inajenga ubaguzi na haileti umoja wa kitaifa na ule uzalendo fake unajenga daraja kubwa la ubaguzi mbeleni