Bac ndo atajaribu kila njia,mwisho utalishwa visivyoliwa,But why uwe mkali sana kwa mkeo??huhisi kama huyo ndo anakuwa na Wewe katika shida na raha?mkuu ujue kama mke ni zawadi aliyokuzawadia mola wako.[/QUOTA,Hakuna namna mkuu...nisipompiga ntampa talaka kwa anayonifanyia!
Angekula vitasa vya kutosha....hadi 4G ingeanza kushikaSubir kidogo utakapoanza kumfulia pichu zake ndo utajua unashudia mtu anafungua vitu unapotezea ss uku msoma uyo angechezea vitasa mpaka aseme wapi alipotoa
Kwanza linaitwaje kwa kiingereza?Hivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani wakati anapika,sikumuuliza kitu.Mi napotezea tu....Cha kushangaza mi sioni effect..mara nyingi akintibua ni makofi mpaka anaenda kwao.Kwa kifupi sijaona effect...
Hamna kitu kama hcho jombaa wanawake wanaliwa hela zao tu na wagangaHivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani wakati anapika,sikumuuliza kitu.Mi napotezea tu....Cha kushangaza mi sioni effect..mara nyingi akintibua ni makofi mpaka anaenda kwao.Kwa kifupi sijaona effect...
[emoji38] [emoji38] hili swali lako halina jibu coz wazungu hawana ujinga wa kutiliana limbwataKwanza linaitwaje kwa kiingereza?
Aliekuambia kuwa ukilogwa utaona effect ni nani???are you serious??....Mkuu ukilogwa huwezi kuona effect utaishia tu kuona kawaida!....kama mtu akilogwa huwa anaona effects basi kungekuwa na vita kali sana kati ya alielogwa na mlozi!!Hivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani wakati anapika,sikumuuliza kitu.Mi napotezea tu....Cha kushangaza mi sioni effect..mara nyingi akintibua ni makofi mpaka anaenda kwao.Kwa kifupi sijaona effect...
Vitasa changamoto MkuuAngekula vitasa vya kutosha....hadi 4G ingeanza kushika
Huwa nasikia ila mapenzi ya dawa ni ya muda mfupi tu mkanye anapoteza muda wake na pesa tu na ambavo huoni effect atazidisha Dose akutie uchizi kabisa sijui watoto atalea na Nani hatufikiriagi sisi sometimes unaanzaje kumuamini mganga akupe umlishe mweeeeeHivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani wakati anapika,sikumuuliza kitu.Mi napotezea tu....Cha kushangaza mi sioni effect..mara nyingi akintibua ni makofi mpaka anaenda kwao.Kwa kifupi sijaona effect...