simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Tangu ujio wa vyama vingi ccm imekuwa ikishidwa kwa kishindo Pemba hadi kutia huruma. CCM haijawahi kushinda nafasi ya uwakilishi Pemba. Kuhusu udiwani sina uhakika - wanajukwaa munaweza kutujuza zaidi kuhusu hili. Uchaguzi Zanzibar bila ushiriki wa CUF ni maigizo tu na si utatuzi wa mkwamo wa kisiasa.