Mwenye updates za RUCU, Stella Maris na Eckernford second round results

Zgerald95

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
235
Reaction score
59
Jamani habari ya muda huu! kwa yeyote mwenye updates kuhusu post za second round zilizo toka za vyuo hivi atujuze maana presha muda unazidi kwenda alafu kimya tu. Nawasilisha.
 
First year chuo cha RUCU wanaripoti lini chuo wakuu? Msaada pliz
 
Jamani habari ya muda huu! kwa yeyote mwenye updates kuhusu post za second round zilizo toka za vyuo hivi atujuze maana presha muda unazidi kwenda alafu kimya tu. Nawasilisha.
Stella tayar second round ingia kweny web yao
 
Back
Top Bottom