Mwenye ujuzi au msaada anisaidie

Mwenye ujuzi au msaada anisaidie

Wapendwa nilishakuwa na mahusiano na mtu nikazaa nae mtoto mmoja tukaja kuachana kila mtu akaendelea na maisha yake.

Shida yangu ni ghafla kuanzia wiki iliyopita ninamuota mara kwa mara na ninamuota kwa mazingira tofauti kwamba tumeonana ila kila mtu amemind his/her own business

Kuna siku niliota kaja kumwona mtoto ila hata hatukuongea akawa busy na mtoto kisha kuondoka na mtoto ana miaka 11 sasa ila hajawahi kumwona na ilinianza ghafla sikuwa namuwaza wala ila sinaga mawasiliano nae.
hilo ndio huitwa agano la ngono
 
Haya sasa mlishaambiwa MSIOE MASINGLE MOTHER, mnakua wabishi imagine umeoa huyu mwanamke
 
Kila siku ushahidi unajitokeza "USIOE SINGLE MOTHER KAMA BABA WA MTOTO YUPO HAI".
 
Back
Top Bottom