Mgonga Mawe
Member
- Dec 29, 2015
- 63
- 30
Habari wakuu,
Nahitaji kununua Tanki ya kuifadhia maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Sasa katika kufatilia kwangu nimegundua kuna kampuni mbili za haya matanki kuna Kiboko na Simtank.
Mwenye uzoefu na haya matanki naomba anijuze ni kampuni ipi kati ya hizi mbili matanki yake yana ubora.