T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,421 Jul 8, 2020 #1 Kuna hii kitu nimeipenda muonekano, kama kuna mtu ana experience nayo naomba anielekeze quality yake na bei pia. LG-LK72B SPEAKERS
Kuna hii kitu nimeipenda muonekano, kama kuna mtu ana experience nayo naomba anielekeze quality yake na bei pia. LG-LK72B SPEAKERS
Nakadi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,798 Reaction score 7,385 Jul 8, 2020 #2 Daah, hili ukiungurumisha ndani hadi panya wanacheza
T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,421 Jul 9, 2020 Thread starter #3 Shombe la Kisomali said: Daah, hili ukiungurumisha ndani hadi panya wanacheza Click to expand... Mwenyewe nimeipenda, muonekano wake tu unaita
Shombe la Kisomali said: Daah, hili ukiungurumisha ndani hadi panya wanacheza Click to expand... Mwenyewe nimeipenda, muonekano wake tu unaita