kile chuo huwa hakijai hata siku moja Mwaka jana wakichaguliwa 15000 special diploma lakini waliojiunga ni 5000-7000 nasikia wengine hawakupata taarifa hivyo basi kama uliomba na unasifa tembelea website ya chuo UDOM-WEB pale juuu mkono Wa kulia utaona waliochaguliwa special diploma click pale
kile chuo huwa hakijai hata siku moja Mwaka jana wakichaguliwa 15000 special diploma lakini waliojiunga ni 5000-7000 nasikia wengine hawakupata taarifa hivyo basi kama uliomba na unasifa tembelea website ya chuo UDOM-WEB pale juuu mkono Wa kulia utaona waliochaguliwa special diploma click pale
mkuu hivi inakuwaje juu ya form za 2015/2016 jr zitatolewa au bado? Na je issue za mikopo zinakuwaje?
Jamani tuliotuma maombi ya special diploma UDOM tunaweza pewa nafasi ? Au wanatosha wale form 4 waliochaguliwa direct kusoma hiyo diploma, msaada please!
mkuu kule majina ya watu ambao walituma maombi selection bado coz kila nikijaribu kutafuta siyaoni. napale kuna walio chaguliwa diploma nyingine tu ila special diploma education majina hamna . labda kama nashindwa kutafuta naombeni wakuu mniwekee link niangalie
Naomba nikueleze kuwa hata mdogo wangu aliomba moja kwa moja chuoni udom hiyo Diploma maalum mwaka huu lakini wiki iliyopita tulitumiwa taarifa kuwa kozi hiyo ilikuwa inaombwa kupitia NACTE na siyo chuoni. hivyo kama uliomba kupitia chuoni usisubiri kuchaguliwa labda kama uliomba kozi nyingine tofauti na special Diploma. kwa bahat nzuri tu huyu mdogo wangu alienda advance kwa kutegeshea maana ingekuwa shida. kwa maelezo zaidi ntakuwekea namba waliyotoa kwa mawasiliano zaidi
Special diploma wanachaguliwa nacte na walishamaliza kuhusu hilo taarifa iliyopo udom web ni mwanafunzi kuthibitisha tu kujiunga na chuo lbd ssa kwa wale ambao hawatathibitisha nafac watapewa wengin,,, mkopo kwa hao jamaa ni lazma
jamani kama yupo aliye tuma maombi ya special diploma udom na ame chaguliwa naomba namba ake tuwaasiliane
Naomba hiyo namba mkuu
Kwani profile yako ya nacte haionyeshi kwamba umechaguliwa?
Kama uliomba moja kwa moja koz ya diploma in secondary teacher education, piga namba 0262310000 kwa maelekezo zaidi. ila kama uliomba koz zingne unaweza kuwa umechaguliwa