Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,348
😱😮😮Kwasababu ni fan wakeUlitumia kigezo gani kujiita Tony Stark?
Kama kichwa kinavyojieleza
Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra ram,
Ram yangu ni 4gb nataka niongeze iwe 8gb Kama Kuna mdau yeyote anayefahamu naomba anifahamishe
*4gb ram ni bei gani?
*Je Kuna aina ngapi za ram au ni aina moja tu?
Natumia laptop
Nahitaji msaada wenu wadau.🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂Nimekuelewa.Umenikumbusha kale ka mchezo ka kuambiana "ganda" hapo unaganda hauna namna mpaka uambiwe "ganduka"
Basi mimi nlikua nikiambiwa "ganduka" muda huohuo alienigandisha namwambia na yeye agande ila ndo simgandushi mpaka kwao wamuite.
😂 😂 😂 labda aliwai tengeneza iron suit ya kwanza kwenye mapango ya koromije ukoUlitumia kigezo gani kujiita Tony Stark?
Huyu jamaa ndo shabiki maandaziUlitumia kigezo gani kujiita Tony Stark?
Mkuu kama unapenda games tafuta platforms nyingne kama PlayStation au Xbox hzo gaming PC hutaziweza.Kama kichwa kinavyojieleza
Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra ram,
Ram yangu ni 4gb nataka niongeze iwe 8gb Kama Kuna mdau yeyote anayefahamu naomba anifahamishe
*4gb ram ni bei gani?
*Je Kuna aina ngapi za ram au ni aina moja tu?
Natumia laptop
🙏🙏🙏🙏
Well said mkuu, hapo definetly tatizo itakuwa ni graphics card yakeTatizo laweza kuwa graphics/video card. Watu hua wanakimbilia ram lakini kazi ya RAM ni kuhifadhi data zinazofanyiwa kazi muda huo huo. Mfano wa kazi ya RAM ni unapofungua panes tofauti tofauti ila kila unaposwitch pane unakuta process ulioacha inaendelea. Kwa usahihi kuhusu games, angalia system requirements utajua nini kinahitajika
😂😂😂Shabiki maandazi anakuwaje?Huyu jamaa ndo shabiki maandazi
Asante kwa mchango wako mkuu🙏🙏🙏Mkuu kama unapenda games tafuta platforms nyingne kama PlayStation au Xbox hzo gaming PC hutaziweza.
Kwanza nyingi huwa custom made halafu zinataka mambo kibao kama
Graphic card hii ni tofauti na video card na iko essential kwa kila gaming PC unayoiona na zina motherboards zake special.Processors hiki ni kitu muhimu sana kwenye games,RAM inatakiwa minimum kuanzia gb8 na kuendelea na vitu vingine kama cooling systems
Vingine jaribu kutafta info hata mitandaoni utajua zaid
Asante Sana🙏🙏🙏🙏Well said mkuu, hapo definetly tatizo itakuwa ni graphics card yake
Walidhani Mimi ndio tony Stark mwenyewe 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu badala ya kumsaidia mtoa mada kuhusu alichhouliza wanaleta story za abunuasi[emoji23][emoji23]
NB: sio kila uzi lazima uchangie
😂😂🤣🤣🤣Niliwahi tengeneza suit ya vitambaa kwenye mapango ya amboni😂😂😂😂😁😂 😂 😂 labda aliwai tengeneza iron suit ya kwanza kwenye mapango ya koromije uko
Ninayo ps 3Mkuu kama unapenda games tafuta platforms nyingne kama PlayStation au Xbox hzo gaming PC hutaziweza.
Kwanza nyingi huwa custom made halafu zinataka mambo kibao kama
Graphic card hii ni tofauti na video card na iko essential kwa kila gaming PC unayoiona na zina motherboards zake special.Processors hiki ni kitu muhimu sana kwenye games,RAM inatakiwa minimum kuanzia gb8 na kuendelea na vitu vingine kama cooling systems
Vingine jaribu kutafta info hata mitandaoni utajua zaid
Kibongobongo mkuu bora hyo PlayStation au Xbox lakini kama unaweza ku afford gaming pc ni wew tu.Ni
Ninayo ps 3
😂 😂 😂 😂 😂😂😂🤣🤣🤣Niliwahi tengeneza suit ya vitambaa kwenye mapango ya amboni😂😂😂😂😁