Mwenye ufahamu juu ya hili tatizo

Mwenye ufahamu juu ya hili tatizo

Zero Star

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
4,295
Reaction score
8,723
Nashindwa kudownload application yoyote kwenye play store ya cm yngu at a kuuppdate inakataa,
Yaani ukidownload au kuuppdate ikifka kwenye kuinstal unatokea kaajjumbe apo chini
"Google play service" can't be installed,try again and if problem continue get help troubleshooting...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Viwa buana mie hizo simu sitaki kusikia hapa nina j5 prime yaanu kitu kimetulia tuli hakina matatizo yoyote toka ninunue sijawahi kuona tatizo wala kuformat
 
Nashindwa kudownload application yoyote kwenye play store ya cm yngu at a kuuppdate inakataa,
Yaani ukidownload au kuuppdate ikifka kwenye kuinstal unatokea kaajjumbe apo chini
"Google play service" can't be installed,try again and if problem continue get help troubleshooting...
Android version gani?
 
Back
Top Bottom