Hiyo picha ya kwanza naona miaka 1994 South Africa ikiwa chini ya Thabo mbeki, na baadae kua chini ya Cyril ni kama ilijitenga na kuiacha Africa, baada ya miaka 21 Africa ilijaribu kujiunga na South Africa wakati ipo chini ya Jacob Zuma.
Bado nakosa full idea maana naona wanaijeria hapa sasa sijui ndo nini au wametumika kuiwakilisha Africa tu

Mwenye nywele nyeupe ni Lowassa... hapo inaamanisha Lowassa akiwa rais Africa itakuwa na ushirikiano mkubwa na umoja......
Mwenye nywele nyeupe ni Lowassa... hapo inaamanisha Lowassa akiwa rais Africa itakuwa na ushirikiano mkubwa na umoja......
mahaba niue na Lowasa yatawamaliza @ocampo mwaka hana sifa wala hafai kugombea uraisi wa tanzania.Mwenye nywele nyeupe ni Lowassa... hapo inaamanisha Lowassa akiwa rais Africa itakuwa na ushirikiano mkubwa na umoja......
Ndio, kutakuwa na ushirikiano mkubwa wa kuwaibia waafrika.
Umemaliza.mwaka 1994, waafrika kwa ujumla wao walifurahi kuikaribisha nchi hiyo ya kusini kujiunga nao (katika uhuru), huyo aliyesimama ni late Tatha Madiba, akifurahia kulakiwa na wana harakati wenzake wanaume kwa wanawake, picha linabadilika miaka 21 baadae, afrika kusini ikiwa chini ya mzee wa bafu Zuma ikitengwa na nchi zingine za bara la afrika Nigeria wakiwa wanashauri ifanyike hivyo, hivi majuzi baada ya yaliyotokea Durban na Jozi .. Wanaigeria kadhaa huko Abuja wali-sugest kuwa kwa kuwa wao wasouth wanajiona hawawezi kuishi na foreigners watengwe wawe kama kisiwa.