Mwenye uelewa na Escudo suzuki

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Gari yangu inakuwq sailensa ipo chini sasa nataka niirekebishe iwe sawa ila mafundi wengi wanatoa hoja tofauti mwenye hoja nifanyeje ili isiwe chini.
 
Original Pastor sema ni version gani ya gari, je ni ya >2005 au ya 2002-2004, au ni nzee ya 90's. Itasaidia kukujibu vzr mm natumia ya 2006 we can share some experience
 
Back
Top Bottom