Mr kilaja Senior Member Joined Aug 21, 2016 Posts 112 Reaction score 68 Sep 27, 2016 #1 Habarii zenu wakuu,nilikua naomba mnielezee kuhusu conas,pia kuna changamoto zp,nimechaguliwa hpo petroleum geology, asante
Habarii zenu wakuu,nilikua naomba mnielezee kuhusu conas,pia kuna changamoto zp,nimechaguliwa hpo petroleum geology, asante
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 27, 2016 #2 Hiyoo nzuri kaka na udsm pako poa elimu bora na ni chuo kinachofuatia kwa ubora kutoka sua
monoclinic JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 262 Reaction score 323 Sep 27, 2016 #3 hongera sana.. kwa kuwa uko department ya geology basi shaka ondoa..cha msingi ukaze tu.. walimu wako poa sana pale japo kuna wazinguaji wachache lkn hiyo ni changamoto... kaza sana sasa ivi GPA ndo mtaji dogo.. karbu ktk tasnia ya geology..
hongera sana.. kwa kuwa uko department ya geology basi shaka ondoa..cha msingi ukaze tu.. walimu wako poa sana pale japo kuna wazinguaji wachache lkn hiyo ni changamoto... kaza sana sasa ivi GPA ndo mtaji dogo.. karbu ktk tasnia ya geology..
Mr kilaja Senior Member Joined Aug 21, 2016 Posts 112 Reaction score 68 Sep 27, 2016 Thread starter #4 monoclinic said: hongera sana.. kwa kuwa uko department ya geology basi shaka ondoa..cha msingi ukaze tu.. walimu wako poa sana pale japo kuna wazinguaji wachache lkn hiyo ni changamoto... kaza sana sasa ivi GPA ndo mtaji dogo.. karbu ktk tasnia ya geology.. Click to expand... thank bro
monoclinic said: hongera sana.. kwa kuwa uko department ya geology basi shaka ondoa..cha msingi ukaze tu.. walimu wako poa sana pale japo kuna wazinguaji wachache lkn hiyo ni changamoto... kaza sana sasa ivi GPA ndo mtaji dogo.. karbu ktk tasnia ya geology.. Click to expand... thank bro
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,521 Reaction score 4,955 Sep 27, 2016 #5 CoNAS sio mahala pa mchezo mchezo kaka!!! Kapige tu msuli wa maana upate GPA nzuri ukilegea tu semester moja tu unaweza ukahairisha Chuo!!!
CoNAS sio mahala pa mchezo mchezo kaka!!! Kapige tu msuli wa maana upate GPA nzuri ukilegea tu semester moja tu unaweza ukahairisha Chuo!!!
Mnyepe Boy Senior Member Joined Apr 17, 2013 Posts 101 Reaction score 16 Sep 28, 2016 #6 isaya songa said: Hiyoo nzuri kaka na udsm pako poa elimu bora na ni chuo kinachofuatia kwa ubora kutoka sua Click to expand... Sua ndo inafuata baada ya udsm, usichanganye Mambo
isaya songa said: Hiyoo nzuri kaka na udsm pako poa elimu bora na ni chuo kinachofuatia kwa ubora kutoka sua Click to expand... Sua ndo inafuata baada ya udsm, usichanganye Mambo