Halotel ni wavivu wa kufikiri, hiyo university offer nikweli ililenga wanafunzi wa vyuo lakini tigo wakataka kuleta habari za vitambulisho , na kufikia kuwazuia wasio wanavyuo, baada ya hapo biashara ilishuka, waka amua kuichia kwa watu wote hata wasio wanavyuo..ushauri wangu kwenu halotel bado ni wachanga sana kibiashara japokuwa mna miundombonu mizuri ya mawasiliano, tafuteni kitu kipya kitakachoweza kununulika kwa watu wote, tigo sio kama wanahuduma nzuri ila gharama zao ni nafuu na wabunifu sana kwenye huduma zao ndio maana wanawateja wengi...