Mwenye TV flat screen

Mwenye TV flat screen

Duuuuh'flat screen 150..ata kam mtumba,labda iwe scraper hyo
 
Hizo za kichina Singsung tu 24" bila 300,000k hupati. Hiyo pesa nunua Simu mzee flat screen.
 
Lete 190,000 nikuuzie original samsung flatscreen inch 19 nimeitumia miezi miwili tu.. Nipigie 0654838131
 
Duuuuh'flat screen 150..ata kam mtumba,labda iwe scraper hyo

mkuu kuna flat screen .. na flat tv ...usichanganye... flat screen tv kwa bei hiyo anapata ila flat tv labda ya 14' inches tena lcd
 
Back
Top Bottom