mwenye till ya tigo pesa jamaani!

mwenye till ya tigo pesa jamaani!

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,883
kama kuna mtu alikuwa anaendesha biashara ya tigo pesa ila kutokana na sababu mbalimbali ameshindwa kuiendesha,kuna jamaa yangu yupo dar,anaihitaji ili aitumie,hata kama ni kwa kumuuzia ila waende tigo kubadilisha umiliki,kwani amejaribu kufuatilia huko wamemwambia wao hawatoi tena,njia iliyopo ni hiyo ya kumtafuta m2 aliyeshindwa biashara,jamaa yupo dar,ndio nikaona nilete hapa kwani jf ni zaidi ya google!atakayekuwa nayo anaweza kuni pm.
 
Ikifika mwakani itaanzia milioni maana miaka miwili zilikua buree na sasa tigo hawategemei kutoa till karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom