Lilishatolewa ufafanuzi na mheshimiwa raisi kupitia ukurasa wake wa facebook kuwa ajira mpya za walimu zitakuwa mwezi wa saba,baada ya kupitishwa,kwa bajeti ili kuepukana na tatizo la ucheleweshwaji mishahara kama wakiajiriwa kabla ya bajeti mpya
Kaazi kweli kweli! Sijawapatia picha hasa nyinyi ambao hamkujishughulisha kutafuta walau kazi ya muda ya kujishikiza. Poleni na mtaajiriwa tu bila shaka muda ukifika.
hivi walomaliza ni walimu tu? maana kwa malalamiko tumezidi japo simo heeeeeehh si mtulie msubiri? mlikuwa hamfanyi chochote mtaan ndo maana kisa wasomi