mwenye tatizo la satelite dish ingia hapa!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Habari zenu wakuu? Mwenye kuhitaji kufungiwa satelite dish aina yeyote such as Dstv,Zuku,Free to air dish,Tv hotel! Au marekebisho, ushauri nk! Tuwasiliane Cont 0788 405060! Karibuni wanajamii!
 
mim n dish dogo size y dish z dstv naeza pata free channel?
 
Unaweza kupata chanel za free kwa kutumia hilo dish ila lazima uwe na receiver ya free to air lkn hutaweza kupata chanel za hapa nyumbani km ITV,TBC na zingine zote za hapa! Utakazopata ukisetiwa ilo dish utapata za south na nigeria km Emmanuel,nollwood, na zingine zinakuwa km 50 hv!
 
nikisikia suala la ving'amuzi nahisi kichefu chefu! huduma zo bado mbofu mbofu tu! hao Zuku wana channel 2 tu za nyumbani, chanel ten na TBC tu. hatupati ITV, capital, star TV na nyinginezo.
 
Kamanda nikisikia suala la ving'amuzi nahisi kichefu chefu! huduma zo bado mbofu mbofu tu! hao Zuku wana channel 2 tu za nyumbani, chanel ten na TBC tu. hatupati ITV, capital, star TV na nyinginezo.

Better ukawa na free to air dish mkuu! cause kwanza local chanel utazipata pili hakuna malipo ya mwezi
 
Jamani tulioko huku Dar ya goba matosa ni kipi kinafaa?
 
Kamanda nikisikia suala la ving'amuzi nahisi kichefu chefu! huduma zo bado mbofu mbofu tu! hao Zuku wana channel 2 tu za nyumbani, chanel ten na TBC tu. hatupati ITV, capital, star TV na nyinginezo.

Better ukawa na free to air dish mkuu! cause kwanza local chanel utazipata pili hakuna malipo ya mwezi

bei gani unaunganisha? Niko Dar, goba matosa
 
Dstv yangu inaonyesha sometimes kama vile cd inayokua na mikwaruzu. Sababu ni nini?
 
piga au sms 0788 405060 karibu!
 
Dstv yangu inaonyesha sometimes kama vile cd inayokua na mikwaruzu. Sababu ni nini?

Nimekupata mkuu hapa sbb ni signal ya dish ipo chini au lnb ya dish imeshuka uwezo! Namaanisha kama dish limesetiwa muda mrefu kuna uwezekano mkubwa wa dish kuwa out of direction na wakati mwingine unaweza kupata msg kwenye tv yako inayosomeka(signal to dstv is lost) so hayo ni matatizo ya kiufundi na sio decoder!
 
kwakweli ving'amuzi nii wizi tu, hata dstv ni hii tbc pekee, inaboaje, maana taarifa za habari inabidi tu utizame ingwaje siifagilii....kaka mbona nilisikia karibu hizo free channels zitafungiwa pia, kuna ukweli juu ya hili? na je unafanya bei gani kuweka hizo free channels kuna jamaa huku kwetu anafanya laki nne na sitini unapata locals 6 na hizo za njenje, tena amepandisha baa ya haya mambo ya vijing'amuzi kuanza.
 
Laki nne na SITINI YA NINI??CHANGANUA TUKUPE MSAADA WA MAWAZO
 
Mama dunia nimekupata! ngoja nianze na swali lk la kwanza hakuna ukweli wwt kuwa free to air zitafungiwa! hapo ondoa shaka! Na sbb ni kwamba hata wanaorusha vipindi kwa njia ya ving'amuzi wanazipata chanel zao kutokana na dish na pili hawawezi kujitoa kwenye satelite pia kwa sbb ya kuonekana nnje na ndani ya tz! Kumbuka king'amuzi huwezi kufunga vijijini lkn dish unafunga ppt! Na kuusu gharama anazowatoza inategemea vifaa anavyotumia mf size ya dish na aina,Receiver model na vitu km hivyo!
 
mkuu mimi nina shida na Hawk 777 vipi naweza pata
 
mkuu mimi nina shida na Hawk 777 vipi naweza pata Ss hv aina hiyo hakuna ila aina nyingine ipo yenye kufanya kazi km hiyo!
 
Back
Top Bottom