Mwenye taarifa za biashara ya Gym.

Ndio mkuu. Gym ni upotezaji wa pesa tu. Unakuta mtu anakwenda gym laki 5/month ila anapolala pachafu kama dampo.
Binafsi nimeamua kudamka saa 10 alfajiri kila siku na kufanya yafuatayo kabla ya kwenda kazini.
1. Kufua nguo,
2. Kukimbia kwa dakika 30;
3. Kufagia uwanja na kumwagilia bustani ya mboga & maua;
4.:kuosha gari.
Baada ya haya yote ndo nioge ninywe chai niwahi kibaruani.
** Yote hayo nayafanya kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 12 alfajiri ifikapo saa 12:30 asubuhi nipo kazini napiga kazi nikiwa fresh bila kulipia GYM
NB: ya nn kupoteza pesa wakati nyumbani kwako una shughuli za mikono za kukutoa jasho!
Biashara ya gym ilikua enzi za mkwere sasa hv maisha ni gym tosha
 
Gym ya elfu 5 mmiliki anapataje faida?
Kuna watu wanapenda wenzao wafanye mazoezi wamejitoa kimtindo huo.

Ila kikihitajika kifaa mtachanga.

Kwenye kota za NHC za Upanga karibu na Mhimbili nimesahau jina la mtaa kuna jamaa ameweka vifaa vya gym kwenye rooftop.
Na unaenda kufanya mazoezi bure, humjui hakujui. Na ukimaliza hapo unaingia kwenye swimming pool.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom