Mwenye taarifa za Barrick

wa Porini

New Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Salama hapa janvini???

Nilipata simu kutoka wa afisa mwajiri mmoja kutoka Barrick makao Makuu,akinialika kwenda kwenye usaili wa post ya Accounts Payable First Leadership,week mbili zilizopita!!!

Naomba mwenye taarifa kama washaajiri au badok!!

Maana baada ya usaili waliniambia watanicall after two weeks,weeks zenyewe zinaisha kesho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…