Mwenye taarifa ya soko la Hoho

Mwenye taarifa ya soko la Hoho

365

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
1,377
Reaction score
1,460
hoho.jpg

Nahitaji Wateja wa ndani na nje niwauzie pilipili hoho,nina mzigo wa kutosha,kila wiki,na kila mwezi kwa muda wa mwaka Mzima kuanzia mwezi huu wa kwanza mpaka mwezi wa kwanza tena 2017.

Kwa yeyote anayejua au anataarifa soko lilipo naomba anisaidie kunipa taarifa mapema sana.
Mimi Niko mbeya.
 
Njoo Dar utembelee mahotel makubwa kuna demand kubwa sana
 
Asante sana Mshana
 
Kwa jumla ndio cjajua, tunauziwa fungu mia tano kwa mia nne, zamani tulikuwa tunapata mpaka fungu mia, wanadai hoho zimekwenda na maji.
 
Hilo fungu linakua na hoho ngapi
 
Mungu akubariki ndugu unatumia mtandao kwa faida,nimependa takuiga.
 
Pamoja,ni kweli mitandao ni mhimu sana kwenye ulimwengu wa Leo ili kupata taarifa mhimu lazima uwasiliane na watu mbalimbali kupitia mtandao
 
je unauzaje? unaweza kunishawishi nikaweka gengeni kwangu
 
Back
Top Bottom