Gogadi
Senior Member
- Nov 15, 2012
- 121
- 16
Hata procedure zakupewa kibali chakuajiri na utumishi huzijui.....ukiona ofisi imetangaza nafasi za kazi ujue wameshapewa kibali, mfano hizi nafasi za pccb mie niliambiwa niombe tangu mwaka jana november lakin walikua hawajapewa kibali mpaka hii majuzi hapa
Funguka kiongozi inaonekana una vitu vya muhimu sana tafadhari tiririka kiongozi,tema madini tuyapate.