Mwenye taarifa nafasi za kazi TPDC

mankipe

Member
Mar 7, 2011
96
12
Wakuu leo nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye interview TPDC ila kwa sababu nimetuma application nyingi nimesahau tangazo lao. mwenye nalo naomba anitumie
 
Tangazo la nini ?jiandae kujibu maswali tu, usisahau kubeba dictionary...

ndugu mi nimepigiwa cm tu ckumbuki tangazo la lini that y naomba msaada. tatizo hata nafasi aliyenipigia cm akuniambia though najua itakuwa uhasibu au ukaguzi wa hesabu.Nimefanya aplication nyingi sana ndugu
 
pole mkuu hilo ndo tatizo la tanzania na africa kwa ujumla unaapply kazi mpaka soli inaisha mpaka siku ukiitwa hujui nafaci ipi umeitwa inakuwa kama miracle tuu,anyway we nenda piga preparation ya masuali general ya interview then ingia kwenye mjengo usiwe na shaka nafaci inaweza kuwa yako cha muhimu usisahau kusali kwa dini yako
 
Pole sana mkuu,jiandae vizuri generally tu.tatizo unaweza ukaulizwa duties na responsibilities za kazi hiyo afu ukabaki unatoa macho kama siyo kuonekana hauko serious.maandalizi mema.
 
Uliomba mwezi gani ili tupekue Documents ila hata kama na mwezi hukumbuki sasa msaada utakuwa mdogo,,,, pamoja na hivyo nakushauri kufanya kosa si kurudia kosa ...jaribu kuwa unatunza barua zako za copy pale unapoomba kazi maana kazi za TZ unaweza ukaomba mwaka 2007 ukaitwa interview mwaka 2011 na bado ukakosa kazi,
 
asante sana kaka tatizo cv na application letter ndo izo izo tunaedit tu....anyways nahisi kuna post ya mwezi wa nne mwishoni hapa JF inaonyesha kuna kazi ya internal Auditor D/L ilikuwa 5/5/2011 na ndio hiyo...nimejaribu kutafuta kupitia google....NIMEIPATA WADAU
 
Wakuu leo nimepigiwa simu ya kuitwa kwenye interview TPDC ila kwa sababu nimetuma application nyingi nimesahau tangazo lao. mwenye nalo naomba anitumie

This's what u're supposed to do when applying jobs next time.
-Kwa visent hivyo hivyo vichache tunavyopata, jaribu kununua faili hata kama haya ya hali ya chini....
-Make sure unakuwa na stepla na pini zake
-Try to have punching machine

*****Kama unaomba kazi kwa tangazo la gazetini; ukishamaliza kata tangazo kisha li-faili
*****Kama tangazo lipo kwenye website,.....copy the infos save kwenye word kisha jitumie kwenye email yako in case u don' have PC, na kama unayo unaweza ku-save baada ya kutengeneza folder utakalohifadhi applications zako zote including matangazo ya kazi ya online. Hii ni muhimu coz' uikitegemea cku ukiitwa interview utajaribu kutafuta tangazo kwenye website husika, hutalikuta!
***** Kama PC huna, try to ur level best kuwa na flash hata ya MB 500 amayo ndani utakuwa na folder la applications zote.
***** Don' edit ur last application by overwriting it....make the original document unaffected
***** Sometime huwa na-foward online jobs adverts kwenye my emails....na hii ni very helpful
**** Kama una PC/Laptop, fanya makaratee upate printer hata ya sh.60,000/= baada ya hapo maisha ya kutafuta kazi yatakuwea rahisi sana coz' u'll be fully equiped.

Binafsi, hii inanisaidia sana, tena sana na hapa nilipo nina matangazo ya kazi nilizowahi kuomba zaidi ya miaka miwili iliyopita!
 
Ungemuuliza aliyekupigia simu kwamba upo kwenye post gani...siku nyingine usiwe mwoga!! Uliza
 
ndugu mi nimepigiwa cm tu ckumbuki tangazo la lini that y naomba msaada. tatizo hata nafasi aliyenipigia cm akuniambia though najua itakuwa uhasibu au ukaguzi wa hesabu.Nimefanya aplication nyingi sana ndugu
Kaka we kula desa kwa nguvu ufanye usaili,naamini haitakuwa executive interview.
 
Back
Top Bottom