Mwenye taarifa kamili za ukweli naomba anijuze | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye taarifa kamili za ukweli naomba anijuze

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Duble Chris, Nov 24, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kuna habari kuwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA itazuia haya madishi yasifanye kazi ifikapo Dec 2012 na badala yake inawataka watu watumie ving'amuzi

  Naomba mwenye taarifa sahihi atujuze uhalisi wake
   
 2. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Umekwenda na maji!!!! hapo danganya toto moja isiyokwenda nanihiiiiii!!!!! zipo nchi nyingi zilizoingia kwenye teknolojia ya digital hazijafikia huko labda bongo inaweza!!!! huo mkonga wa taifa wenyewe mpaka leo umekuwa mkongo badala ya mkonga!!! spidi ya bata!!!! sijui, wewe jiachie tu endelea kubrowse na kula vitu laini!!!
   
Loading...