Mwenye taarifa juu ya PSPF

Mwenye taarifa juu ya PSPF

yewomi

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
78
Reaction score
27
jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi
 
ah ah ah ahhahah, mwenzio aliomba kazi, anauliza kama wameshaita watu kwa intavyuu
Mimi nimesikia PSPF wanataka wanachama wapya, kajisajili
 
ah ah ah ahhahah, mwenzio aliomba kazi, anauliza kama wameshaita watu kwa intavyuu
Kumbe? Sikujua bwana, nilipoona anasema taarifa yoyote nikajua yoyote kuhusu PSPF... Siku nyingine aweke wazi bwana
 
jaman kwa waliopata taarifa yoyote kuhusu PSPFwatujuze na sisi

PSPF wana intern 25 ambao nao wameambiwa waombe.
Hapo bado wa vimemo!!

We jipe moyo tu, ila pagumu.
 
Back
Top Bottom