Mwenye taarifa hii ya HESLB atujuze hapa

Mwenye taarifa hii ya HESLB atujuze hapa

Nadhani huu ni utapeli, why vyuon kusiwe na hii taarifa wakati kuna ofisi ya mikopo hapo hapo chuo?? Sie kilichoendelea jana ni kusaini kwa ajili ya ada tu, af jiulize bodi watakulipa ada au boom au vyote kwa pamoja kupitia hizo taarifa unazoaploid kama ni vyote it means ww ndo ukalipe ada chuo? Bila shaka ni uhongo japo sina uhakika...... Ila hiii taarifa imesambaa sana ken magroup ya watsup ya wanafunzi
sasa apo tapeli atakutapeli nini kwani umeambiwa ulipie chochote mkuu.
 
MSAADA::Wakuu how does someone edit their infos kama amekosea..!? Kuna mwana amekosea account number..ss akijaribu kulog in ili aedit anakosa sehemu ya kuedit account number..!! Msaada jmn!!!
 
Waku naomba msaada Me nikijaza tarifaa zangu. Niki log in inaniambia no data match this index plz Kama Luna mtu Alisha kutana Na ikitu msada wakuu
 
Waku naomba msaada Me nikijaza tarifaa zangu. Niki log in inaniambia no data match this index plz Kama Luna mtu Alisha kutana Na ikitu msada wakuu
Mkuu tusaidiane, Mimi mwenyewe nikiingiza taarifa zangu naambiwa no index matches to this account number
 
Mkuu tusaidiane, Mimi mwenyewe nikiingiza taarifa zangu naambiwa no index matches to this account number
Itakuwa account number yako unayoandika haimatch na ile ambayo bodi wanayo. So make sure unaandika acc no as inavokuja kwenye sheet la kusain
 
Back
Top Bottom