Mwenye taarifa hii ya HESLB atujuze hapa

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,180
MUHIMU SANA

Digital Loan Disbursement Solution

Habari za leo wadau?

Tunakaribia kuanza kuwalipa wanafunzi wanufaika wa mikopo mkupuo(quarter) ya tatu kwa mfumo wa haraka wa HESLB-CRDB Disbursement Solution.

Ili kufanikisha tunaomba muwafikishie taarifa wanafunzi wanufaika wajiandae ku-upload passport size zao kupitia portal ya OLAS https://olas.heslb.go.tz. Mnufaika anapaswa kubonyeza link ya Beneficiaries kisha ajaze taarifa zifuatazo:-

1. Form Four Index Number

2. Bank Account Number anayopokelea mkopo wake

3. Password

Baada ya hapo ukurasa wa kuweka picha(passport size) utafunguka.

Zoezi la kupokea taarifa hizo litakuwa wiki moja (siku 7) tu, hivyo ni muhimu walengwa wakapata taarifa mapema ili tutakapofungua portal hiyo wazingatie umuhimu wa kuwasilisha taarifa hizo kwa wakati kuanzia tarehe tutakayoitaja wiki ijayo.

Nawatakia heri ktk utekelezaji wa majukumu yenu.
 
Nadhani huu ni utapeli, why vyuon kusiwe na hii taarifa wakati kuna ofisi ya mikopo hapo hapo chuo?? Sie kilichoendelea jana ni kusaini kwa ajili ya ada tu, af jiulize bodi watakulipa ada au boom au vyote kwa pamoja kupitia hizo taarifa unazoaploid kama ni vyote it means ww ndo ukalipe ada chuo? Bila shaka ni uhongo japo sina uhakika...... Ila hiii taarifa imesambaa sana ken magroup ya watsup ya wanafunzi
 
Mbona vyuon hizi taarifa zipo mkuu
 
Sema chuo chenu ndio hamna taarifa hizo ila vyuo vyengine taarifa zipo
 
Nadhani huu ni utapeli, why vyuon kusiwe na hii taarifa wakati kuna ofisi ya mikopo hapo hapo chuo?? Sie kilichoendelea jana ni kusaini kwa ajili ya ada tu, af jiulize bodi watakulipa ada au boom au vyote kwa pamoja kupitia hizo taarifa unazoaploid kama ni vyote it means ww ndo ukalipe ada chuo? Bila shaka ni uhongo japo sina uhakika...... Ila hiii taarifa imesambaa sana ken magroup ya watsup ya wanafunzi
Mwisho tarehe 28
 
Leo tumepata hizi taarifa chuoni kwetu...ila sitajiunga na siwashauri mjiunge.... Mpaka mtakapo lidhika na mfumo huu..tumeambiwa siyo wa lazima kujiunga.
 
Sio mfumo mzuri Kwa nini mkuu? Huoni kama unarahisishiwa?
 
Nadhani huu ni utapeli, why vyuon kusiwe na hii taarifa wakati kuna ofisi ya mikopo hapo hapo chuo?? Sie kilichoendelea jana ni kusaini kwa ajili ya ada tu, af jiulize bodi watakulipa ada au boom au vyote kwa pamoja kupitia hizo taarifa unazoaploid kama ni vyote it means ww ndo ukalipe ada chuo? Bila shaka ni uhongo japo sina uhakika...... Ila hiii taarifa imesambaa sana ken magroup ya watsup ya wanafunzi
chuo gan hiko mbona wamebandika huku?
 
Leo tumepata hizi taarifa chuoni kwetu...ila sitajiunga na siwashauri mjiunge.... Mpaka mtakapo lidhika na mfumo huu..tumeambiwa siyo wa lazima kujiunga.
Mfumo nzuri sisi tuliofanyiwa majaribio usiwe na wasiwasi Mimi shuhuda wa mfumo huo kama utaitaji more info pm me
 
Hii system mpya ya malipo ni lazma
Sisi tumeambiwa siyo lazima...unaweza kuendelea kutumia mfumo uliopo sasa wa makubulasha kusaini au mfumo mpya wa finger print
 
Hiyo nilazima wala msijidanganye usipofanya hivyo utasota mpaka hadcopy yamajina ikaje utakuwa umeisoma namba please fanya hivyo hilo swala ni serious mkuu
 
Hiyo ni kwaajili ya continous tuu First year haiwahusu, kwani taarifa zao wanazo
 
Back
Top Bottom