MWENYE SPECIAL NUMBER YA SIMU TUWASILIANE

Mkuu, Mimi ninayo ya 007 007 ila sijui tutafanyaje ili kuhamisha usajili kutoka kwangu kwenda kwenye nida yako. Au Kama vipi weka day nono tukutane nikuachie uishi nayo hivyo hivyo

70,000/=
 
Kuna hii yangu niliitoa makao makuu voda
07.....600600
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…