Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,938 May 21, 2014 #1 Wakuu mwenye hiyo simu kwa bei poa anipm tafadhali najua zimeshashuka bei.Nikipata mbili nitafurahi yangu na ya Mchepuko wa njia kuu
Wakuu mwenye hiyo simu kwa bei poa anipm tafadhali najua zimeshashuka bei.Nikipata mbili nitafurahi yangu na ya Mchepuko wa njia kuu
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 172 May 21, 2014 #2 Ninayo nauza 300000
W waukweee Member Joined Nov 25, 2013 Posts 20 Reaction score 0 May 21, 2014 #3 Ninayo moja mpya kwenye box kwa 900 tu...ka wahitaji nicheck
M mbeyatz Senior Member Joined Jul 2, 2013 Posts 150 Reaction score 32 May 21, 2014 #5 maguzumasese2005 said: Ninayo nauza 300000 Click to expand... Acha uswahili wewe.. Huo utapeli ni wakizamani,huwezi kuuza clone kwa mtu sahv ukamwambia n original..
maguzumasese2005 said: Ninayo nauza 300000 Click to expand... Acha uswahili wewe.. Huo utapeli ni wakizamani,huwezi kuuza clone kwa mtu sahv ukamwambia n original..
M maguzumasese2005 JF-Expert Member Joined May 1, 2014 Posts 642 Reaction score 172 May 23, 2014 #6 mbeyatz said: Acha uswahili wewe.. Huo utapeli ni wakizamani,huwezi kuuza clone kwa mtu sahv ukamwambia n original.. Click to expand... Kwani unazijua ,ni kweli naitumia ipo fresh ina sensor fresh .
mbeyatz said: Acha uswahili wewe.. Huo utapeli ni wakizamani,huwezi kuuza clone kwa mtu sahv ukamwambia n original.. Click to expand... Kwani unazijua ,ni kweli naitumia ipo fresh ina sensor fresh .