RAM ninazo ila sasa sijaelewa unataka ya aina gani....kuna za desktop na za Laptop na pia kuna DDR, DDR2 na DDR3 sasa mkuu unatafuta ipi?
Kama hutaweza kufahamu type ya RAM yako nipe model ya computer yako then nitajua unatumia RAM gani. Kwa mawasiliano zaidi nichek kwa number 0658020361