mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 453
labda anamanisha 1,000,000Hawajakupa na namba za Fundi wao kabisa ili usipate shida huko uendako?
huenda ana ikosea tuu kuiandikia
labda anamanisha 1,000,000Hawajakupa na namba za Fundi wao kabisa ili usipate shida huko uendako?
Mbona zinapatikana sana kwa bei hiyohiyo 150,000/- ya kenya? sema utakuwa una shida kichwani hakika...
Kwa hiyo hela bora ukanunue gazeti ujipepee