October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
- Thread starter
- #21
Punguza kidogo fanya 40,000/=Mimi mnayo kaka naitaji 100000/= tu kaka
Punguza kidogo fanya 40,000/=Mimi mnayo kaka naitaji 100000/= tu kaka
okay ongeza pesa![]()
![]()
baki nayo mwenyewe
haupo serious ww mzeeNatafuta PC iwe na uwezo mkubwa, graphics card ya maana
HDD 500
Ram 4
Core i5
processor 8
good condition,
Bettry life 6 hours
Appearance nzuri, iwe nyembamba, iwe mpya, iwe na chaji yake na pad za kuchezea game, iwe na warrant mwaka mmoja, iwe na begi lake la PC iwe na flash ya nyongeza.
Bei isizidi 150,000/=![]()
![]()

Ukipata na mm nishtue..Natafuta PC iwe na uwezo mkubwa, graphics card ya maana
HDD 500
Ram 4
Core i5
processor 8
good condition,
Bettry life 6 hours
Appearance nzuri, iwe nyembamba, iwe mpya, iwe na chaji yake na pad za kuchezea game, iwe na warrant mwaka mmoja, iwe na begi lake la PC iwe na flash ya nyongeza.
Bei isizidi 150,000/=![]()
![]()
octa coreheheheee acha ujuaji dogo
core i5..
processor 8
ndio nin?
Mkuu kanunue sim ya techo itakufaa zaidiNatafuta PC iwe na uwezo mkubwa, graphics card ya maana
HDD 500
Ram 4
Core i5
processor 8
good condition,
Bettry life 6 hours
Appearance nzuri, iwe nyembamba, iwe mpya, iwe na chaji yake na pad za kuchezea game, iwe na warrant mwaka mmoja, iwe na begi lake la PC iwe na flash ya nyongeza.
Bei isizidi 150,000/=![]()
![]()
heheheeee sureocta core
cpu zipo nyingi na za aina tofauti tofautiheheheeee sure
hao uliowatag ndio walisema hivyo?cpu zipo nyingi na za aina tofauti tofauti
kuna za
core mbili.nne,nane nk
kama i3 kwa laptop ni duo core na kwa desktop ni quad core
pia i7 kwa laptop ni quad core na kwa desktop ni octa core
Cc Chief-Mkwawa,Chief-Mkwawa,
hivyo vitu vinajulikanahao uliowatag ndio walisema hivyo?
Acha Ufa.l.aNatafuta PC iwe na uwezo mkubwa, graphics card ya maana
HDD 500
Ram 4
Core i5
processor 8
good condition,
Bettry life 6 hours
Appearance nzuri, iwe nyembamba, iwe mpya, iwe na chaji yake na pad za kuchezea game, iwe na warrant mwaka mmoja, iwe na begi lake la PC iwe na flash ya nyongeza.
Bei isizidi 150,000/=![]()
![]()
aah kama ulikuwa unajua hivyo jaribu ku-update ufikiri wako....sio hivyo mkuuhivyo vitu vinajulikana
but chief atakuja toa uongozo zaidi
ni vipi sasa?aah kama ulikuwa unajua hivyo jaribu ku-update ufikiri wako....sio hivyo mkuu
Hawajakupa na namba za Fundi wao kabisa ili usipate shida huko uendako?Mrejesho wadau nawashukuru wote hatimaye nimefanikiwa kuipata PC yenye sifa zote nilizoziorodhesha hapo juu nimashine ya maana ni HP, pia nimepewa na begi lake ,pad zake,frash ya niongeza na movie pia game nimewekewa bure kwa warrant ya mwaka mmoja
Nimeuziwa kwa 100,000/= tu