October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Natafuta PC iwe na uwezo mkubwa, graphics card ya maana
HDD 500
Ram 4
Core i5
processor 8
good condition,
Bettry life 6 hours
Appearance nzuri, iwe nyembamba, iwe mpya, iwe na chaji yake na pad za kuchezea game, iwe na warrant mwaka mmoja, iwe na begi lake la PC iwe na flash ya nyongeza.
Bei isizidi 150,000/=