Mwenye nguvu mpishe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
241
Reaction score
124
Wee uliye tuuuuuuuuuuu ucheka una mbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Leo nakuja hapa kuleta fback ya ule mzozo wetu na shostito mama ya kichanga mama yenye kubamba na LE BOSS.

Siku zote usijaribu kujamba kama unasumbuliwa na tumbo la kuharisha manake utatia aibu....................Istoshe ukiona unalalamikiwa sana kaa chini jitafakari wapi ambapo umekosea na wapi ambapo unaonewa( ushauri tu TAKE IT IF YOU LIKE, IF NOT IPOTEZEE). Japo waswahili husema kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji mie nakataa manake the meaning is invalid............

Ilikuwaje sasa??? just sit and read.....................
Siku nilipoleta uzi hapa bwana kumbe mie naja kupumulia humu, wenye nguvu zao walikuwa wamesha chukua one step ahead tena pasi huruma.........lol!! sometimes its good to be fair!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
walichokifanya bwana walikuwa wameandika kwenye sanduku la maoni hapo kwa ofisi kwamba THE BOSS anakiuka maadili ya kazi, he doensn't follow JD zake na wala hazingatii kama subordinates wake wanafuatilia JD zao. Wakaandika full scapes kumsema THE BOSS na kichuda wake.........................I wasnt involved honestly................. mimi nilipunguzia upepo wangu hapa jf nikasepa nikiwa mwepesiiiiiiiiiiiii ingawa wengi walininanga sana lakin hawakuwa wanajua nilikuwa naumia vipi na hali halisi.

Sasa bwana kwa sheria za ofisi hizi za hawa wenzetu huwa kuna sheria ambazo huwa naziita ngumu manake its obvious kwamba watu wanaweza kufall in love wakiwa kazin and this is not a sin!!!!!! Hapa ofisini kwetu it is written kutoka kwenye contract offer kwamba an employee is not supposed to be involved in any affair with his/her colleague and if that happens it is either one resigns from work or both. daaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Siku zote tulikuwa tunapiga kelele nje tu ndani hatusemi manake hakuna sababu ya kuharibiana kibarua mjini pagumu kama huamini acha kazi.

Wenye mioyo myepesi walishindwa kuvumilia bwana wakaenda kumlipua THE BOSS kwa uongozi, ile karatasi iliyoandikwa ikawa scanned ikatumwa kwenye dropbox ya ofisiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Sasa wadosi wenyewe wako very transparrent wakampa THE BOSS na kichuda wake muda wa kujitetea, ambapo ilikuwa ni j3 wiki hii. Sijui bwana wamejiteteaje manake vikao hivi si vya wakubwa????????????????

Leo asbuhi naingia ofisini tunakutana na tangazo kwenye ubao wa matangazo kwamba THE BOSS na kichuda wamesimamishwa kazi kwa kukiuka sheria ya ofisi na wamepewa muda wa kuhand over ofisi, ingawa watapewa mshahara wa mwezi huu. oooh..... soooooooooooo saaaaaaaaaaad!!
Nimejikuta nashika tama manake binafsi sikutaka iwe hivi ila tu nilitaka bwana kaka abadilike yeye na kichuda wake lakini kumbe kuna watu wanakesha usiku na mchana kwamba watakurudishaje nyuma wewe unapotaka kusonga mbele?????.

My take ukila la kipofu usimshike mkono period.
Najua wengine mtatokwa na povuuuuuuuuuuu, ukitukana tukana tu manake utakuwa unatoa upepo tu.
 
Kweli piga bomu harafu unakaa mbaali usubiri boooom!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Una undugu na lara 1? Swagger zinafanana.
 
Last edited by a moderator:
PENZI KITOVU CHA UZEMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hio inaitwa taking care of business THE HARD WAY!!!!!!!!!!

Na ndo inavotakiwa! Lasivo Le Boss alishaanza kujiona kimungu kidogo!
 
Ruge alisema maisha nikupokezana vijiti! Sasa mimi ndo nakaribia kustaafu so nimempa kijiti dogo. Huyu mdau lazima atakuwa amekulia Kino au Migo au Sinza na Mwenge hood!

Aya bhana, ila mimi namfananisha na mtu aliyetokea Kilima Mswaki?
 
mi saidie tuu huo uzi uliouweka b4 ambao ulikufanya upunguze hasira na upumuwe yaliyokukaba moyoni nahisi ndo naweza elewa mtiririko mzima maana ni kama nimepitwa na huo uzi sikuuona tafwadhali naomba niwekee link yake niusome tuu.
Thanks
 
PENZI KITOVU CHA UZEMBE!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hio inaitwa taking care of business THE HARD WAY!!!!!!!!!!

Na ndo inavotakiwa! Lasivo Le Boss alishaanza kujiona kimungu kidogo!
hahahahhah!!!!!!!!!!!! my twin.
YOU HIM 'EM HARD!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ruge alisema maisha nikupokezana vijiti! Sasa mimi ndo nakaribia kustaafu so nimempa kijiti dogo. Huyu mdau lazima atakuwa amekulia Kino au Migo au Sinza na Mwenge hood!

Made from MIKUMI, mwanzo mwisho!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumbe ni hii nilishaisoma ila sikuifatilia sana maana hata ile nayo sikuielewa japo now kidogo nimeunganisha dots nimepatapata maelezo looh, mgumu kuelewa mwepesi kusahau heheheee thanks nashukuru mie nilishatoka huko.
Wewe utakuwa na tatizo na kusoma aya ndefu.
poleeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…