Mwenye namba za mandela plz

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,901
Reaction score
1,511
Watu Wangu nitumie namba ya NELSON MANDELA,nataka nimwambie akienda asisahau kumwambia swahiba wake bwana NYERERE kwamba matoto yake ya CCM nchi imewashinda.
 
+++++++--------++++++======00000713
 
Watu Wangu nitumie namba ya NELSON MANDELA,nataka nimwambie akienda asisahau kumwambia swahiba wake bwana NYERERE kwamba matoto yake ya CCM nchi imewashinda.

tehe tehe hah hah hah hah hah hah hah hah hah hah hah
 
Huo ni ukweli na uwazi jaman ila hata yeye is anajua kuwa wataonana nadhan watamalizana wenyewe kwa wenyewe

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…