Mwenye namba ya rais msaada anipatie

Unataka umweleze nn maana huyu sio kama yule ambae ukimsifia tu anakupa u RC., zaidi anakutumbua
 
Ninayo ila sijui kwanini sikuhizi hapokei. ....sio mimi tu, hapokei hata za wale baadhi wa mjengoni kabla ya kuwa President. .Nadhani majukumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom