Mwenye mtaji aje tulime mahindi

darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,341
2,000
Moja kwa moja kwenye mada

Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi

Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO

size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini

Location :Iringa vijijini

Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.

Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH

idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000

Duration miezi minne (4 )

Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi

Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa

Uzi tayari.
 
Busekela

Member
Mar 7, 2018
96
125

Iringa vijiji sehemu gani? taja location
 
Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,629

Nipigie 0654171555
 
Abuu abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
985
1,000

Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!

Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..
 
Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,629
2,000
Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!

Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..

Kama pesa ipo weka, kilimo cha mahindi ya kuchoma uhakika, ukiona gozi gozi, unaya acha unakuja kuvuna yamekomaa
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
1,341
2,000
Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!

Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..
Sahihi kabisa mkuu kwa kila heka Moja Net profit ina range kwenye 1,000,000-2,700,000

Cha muhimu ni kuwahi (kupanda kwa mvua za kwanza) ndio unapata bei ya 200 kwa kila muhindi sasa baada ya hapo bei huenda ikipungua taratibu kulingana na supply inavyoongezeka mpaka inakuja ku got hapo kwenye 90 TSH kwa kila muhindi

Msimu wa mvua ukiisha bei inarudi tena kwenye 200.

Karibu PM boss tufanye kazi.
 
Konki kichaa

Member
May 18, 2018
88
125
Hayo Mahindi ya GOBO yakoje au ni haya ya kawaida tu isipokua mtavuna kwaajili ya kuchoma pekee?
Sahihi kabisa mkuu kwa kila heka Moja Net profit ina range kwenye 1,000,000-2,700,000

Cha muhimu ni kuwahi (kupanda kwa mvua za kwanza) ndio unapata bei ya 200 kwa kila muhindi sasa baada ya hapo bei huenda ikipungua taratibu kulingana na supply inavyoongezeka mpaka inakuja ku got hapo kwenye 90 TSH kwa kila muhindi

Msimu wa mvua ukiisha bei inarudi tena kwenye 200.

Karibu PM boss tufanye kazi.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,768
2,000
Kwahiyo.. Kwa hesabu zangu za harakaharaka unaweza kutengèneza NET PROFIT OF 50,000,000/= Milioni hamsini, kwa miezi minne hiyo ya kilimo.. Si ndio!

Kama siko sahihi nirekebishe na unaweza kujalizia kitu hapo ili tuone zaidi fursa iliyopo hapo..
Unatengeneza kabisa hii 50mil bila tabu wala nini, lakin kwa Calculator na ukiwa kwenye keyboard Kama hivi.

Ila kwa uhalisia hapo ni tofauti.
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,768
2,000
Moja kwa moja kwenye mada

Kama kichwa kinavojieleza mtu mwenye mtaji na anapenda kulima zao la mahindi namkaribisha tufanye kazi

Aina ya mahindi tutayolima ni mahindi ya kuchoma maarufu kama GOBO

size ya shamba kuanzia heka kumi mpaka hamsini

Location :Iringa vijijini

Gharama ya uzalishaji TSH 50@1 (50TSH kwa kila muhindi mmoja gharama hii hushuka mpaka TSH 40 kwa muhindi kulingana na size ya shamba na rutuba.

Bei ya kuuzia kwa kila muhindi maximum 200TSH na minimum 90TSH

idadi ya mahindi kwa heka moja ni mahindi 18,000

Duration miezi minne (4 )

Tunaweza kufanya umwagiliaji au kutegemea mvua ila kwa wakati tuliopo mvua zitatufaa zaidi

Karibuni tufanye kazi ndugu zangu hizi ni moja kati project za kilimo zenye risk ndogo kabisa

Uzi tayari.
Unaweza kua na point, ila ulivomalizia "Uzi Tayari" ni ishara kua hauko serious
 
May 24, 2020
95
95
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom