Yaan tigo customer care wao nikiunganish kikubwa na wale matapeli wa mitandaon. Nibaada ya kuwasiliana na tg customer care kuanzia siku ya ijumaa 19 ili kurudishiwa pesa ambayo niliituma kimakosa. Mawasiliano yalikua siku 7 kila nikipiga naambiwa subir saa 24 lkn lengo lao haikua kurudisha pesa baada ya saa 24. Kwan alhmis 24/1/18 nilipga tena sim kuulizia ilikua asubuh wakajib pesa itarudishwa mda wowote kutoka hapo tulipokua tunazungumza baada ya muda kidogo nikapigiwa sim na tg nikaulizwa km nimeridhishwa na huduma kiukweli nilichukia mm nasubir pesa wanapiga sim wanaongea mambo mengine. Nikajbu sijaridhishwa kwan pesa yangu haijarud akaniuliza pesa gan nikamjibu hujui mbona nimeambiwa ntapigiwa sim ili nirudishiwe pesa ulivyo piga nikajua ww ndo unarudsha akasema subur kidogo kisha akarud hewan akasema nitapigiwa sim nitaulizwa maswali yatakayo saidia pesa yangu irud. Kweli baada ya muda nikapigiwa sim nikaulizwa maswali mwisho wakase ingiza no ya sim ndonikajikuta nimeibiwa kisi cha 125