Mwenye modem ya Huawei E3372

Mwenye modem ya Huawei E3372

Kayemba

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
221
Reaction score
175
Natafuta hii modem tafadhari mwenye nayo aniambie wapi yupo na bei ill come to pick
 
kama hyo sio
 

Attachments

  • 20181026_142833.jpg
    20181026_142833.jpg
    92.7 KB · Views: 39
Mkuu njoo uchukue DLink DWM-222 ya Zantel Ila inagonga line zote 50K
 
tembelea ttcl shop jamaa walikua wakiuza 50000 na 3Gb wapata
Asante mkuu. Ttcl hawana kwa sasa. Ila niliipata kwa mdau mmoja jana. Nashukuru kwa hili pia.
 
Back
Top Bottom