Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,544
- 12,242
Hahahahaha8 Wizi wa RAMBI RAMBI za Wahanga wa TETEMEKO Kagera
9 Wizi wa KURA
Ikiwa hivyo ndivyo mbona kana kwamba Unataka kuniaminisha kile nilichokisoma Shule na msemo wa wahenga. Usemao fulani ana mkono mlefuSiku moja kwenye ishu za miamala ya kufanya malipo ya serikali pale bandarini kwetu nikakosea Baada ya kulipa elfu hamsini nikalipa laki 5 tasilimu kwa njia ya mtandao
Fujo zangu za kufuatilia nirudishiwe kilichozidi zilinifikisha kwa kamishna na kuambulia jibu la SIRIKALI HUWA HAIRUDISHI CHENCHI...!!! Nilichoka
Sio kwa serikali ya chama cha kijaniSerikali isiyo Na uwezo wa kumfikisha joka lenye makengeza mahakamani ni serikali inayokumbatia uhalifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko half time...
Kweli kabisa serikali ina mkono mrefu sana tena ile ya awamu ya 4 ilikuwa nao mrefu kuliko hii ya awamu ya 5Hiki ndicho tulichofundishwa udogoni na hata shule za msingi na sekondari... Huu ni msemo wa hekima wa wahenga kwamba tafsiri ya mkono mrefu ni wizi yaani mwizi kwa tafsiri nyingine ni mtu mwenye mkono mrefu....
Siku hizi mambo yamebadilika tafakuri zimekuwa nyingi... Nimeikuta mahali watu wakijadili kuhusu mkono mrefu wa serikali.... Kwamba eti serikali ina mkono mrefu . .... SERIKALI INA MKONO MREFU.... sitaki nichague tafsiri ile ya wahenga najitahidi kubaki na tafsiri husika ila inaniwia vigumu mno kukubaliana na huu ukweli.... Kwamba mkono mrefu wa serikali sio kwa tafsiri ile ya wahenga.... WIZI
fedha za 'manunuzi' ya wabunge na madiwani je!1 Wizi wa kuuwa wanasiasa
2 Wizi wa kuuwa wanafunzi
3 Wizi wa kupotea Watanzania wenzetu
4 Wizi wa madaraka
5 Wizi wa kodi kwa wanyonge
6 Wizi wa rasilimali ya taifa
7 Wizi wa kuhujumu democracy nchini
[emoji16] [emoji16] [emoji40] [emoji40]Hiki ndicho tulichofundishwa udogoni na hata shule za msingi na sekondari... Huu ni msemo wa hekima wa wahenga kwamba tafsiri ya mkono mrefu ni wizi yaani mwizi kwa tafsiri nyingine ni mtu mwenye mkono mrefu....