wajumbe kama kuna mtu anayefahamu mkataba au vipengele vya mkataba wa uchimbaji wa madini ya uranium naomba auweke ubaoni kwa ajili ya kujadiliwa
Si nilisikia Pinda alipata wawekezaji wa kihindi ndo wanatarajiwa kupewa!Nadhani katika makosa makubwa tutakayofanya ni kuruhusu kuchimba haya madini hatari tena na 'Mhindi'. Tutakuwa tunaangamiza taifa hili kwenye ramani ya dunia. Kama wajapani na nchi za magharibi wameshaanza mipango ya kuzima mitambo yao ya kurutubisha kwa sababu ya madhara yake sisi ni nani hata tudhubutu kuanzisha miradi hatari kama hii.Anyway mie si mtaalam lakini wasiwasi mkubwa upo kwenye kuhandle miradi hatari kama hii kama tu wawekezaji wa dhahabu isiyo na madhara ya direct wameleta madhara makubwa kwa wananchi mfano huko North Mara, je ni nini kitabadilika katika utendaji wetu ili tuwe na uwezo wa kuhandle vitu hatari kama hivi. Tutajuta na watoto wetu watakao zaliwa vilema watatulaani. Waulizeni wajapani madhara yake, wana uchumi mzuri lakini leo hii hawana raha na maisha!Nadhani tunaweza kutumia vyanzo vingine kupata nishati ya umeme lakini siyo nuclear. Handling ya vitu hatari kama hvi inahitajika serikali ya wananchi siyo serikali hii tuliyonayo ya kifisadi ambayo haijali watu kufa kwa sababu ya kupata fedha na kukumbatia wawekezaji. Nadhani hata mataifa yanayotutakia mema hayatakubaliana na mradi huu kamwe!Nawakilisha.Mkataba bado hujasainiwa na wala kibali cha kuchimba bado hakijatoka
Si nilisikia Pinda alipata wawekezaji wa kihindi ndo wanatarajiwa kupewa!Nadhani katika makosa makubwa tutakayofanya ni kuruhusu kuchimba haya madini hatari tena na 'Mhindi'. Tutakuwa tunaangamiza taifa hili kwenye ramani ya dunia. Kama wajapani na nchi za magharibi wameshaanza mipango ya kuzima mitambo yao ya kurutubisha kwa sababu ya madhara yake sisi ni nani hata tudhubutu kuanzisha miradi hatari kama hii.Anyway mie si mtaalam lakini wasiwasi mkubwa upo kwenye kuhandle miradi hatari kama hii kama tu wawekezaji wa dhahabu isiyo na madhara ya direct wameleta madhara makubwa kwa wananchi mfano huko North Mara, je ni nini kitabadilika katika utendaji wetu ili tuwe na uwezo wa kuhandle vitu hatari kama hivi. Tutajuta na watoto wetu watakao zaliwa vilema watatulaani. Waulizeni wajapani madhara yake, wana uchumi mzuri lakini leo hii hawana raha na maisha!Nadhani tunaweza kutumia vyanzo vingine kupata nishati ya umeme lakini siyo nuclear. handling ya vitu hatari kama hvi inahitajika serikali ya wananchi siyo serikali hii tuliyonayo ya kifisadi ambayo haijali watu kufa kwa sababu ya kupata fedha na kukumbatia wawekezaji. Nadhani hata mataifa yanayotutakia mema hayatakubaliana na mradi huu kamwe!Nawakilisha.Mkataba bado hujasainiwa na wala kibali cha kuchimba bado hakijatoka
Bila shaka Baba Riz anao, hebu mcheki anawezakupa copy!wajumbe kama kuna mtu anayefahamu mkataba au vipengele vya mkataba wa uchimbaji wa madini ya uranium naomba auweke ubaoni kwa ajili ya kujadiliwa
nadhani ni vema member tukautafuta na kuuweka hapa ili ujadiliwe na kuona ni risk gani na faida gani tunazoenda kuzipataBila shaka Baba Riz anao, hebu mcheki anawezakupa copy!
nadhani ni wakati wa kufanya kitengo huru cha usimamizi wa mipango ya taifa na si kiwe chini ya wizara fulani kwani kwenye mikataba tunaona jinsi mawaziri wanavyotuangusha na kwenye kodi naona maofisa wa TRA wanavyoshiriki kuwasaidia kukwepa kodiI hate this portion of the attached report. "As is known, projects in Africa, especially in Nigeria, Tanzania and Namibia are relatively cheap for development and economically effective." Hivi viongozi hawasomi haya? Hata wawekezaji wanaweza kuto single out kuwa sisi ni watu wa kugawa kirahisi rahisi? Bado hapo tunawaondolea kodi kwa miaka mitano tunaondoa kodi ya mafuta nk nk.
Hivi hawa wanaosimamia serikali HAWAONI AIBU?