Kama imei yake imeishia 975 basi tuwasiliane PM mkuu tuongee zaidi Maana nilipoteza yangu na nimekuwa nikipata report kadhaa Mara imewashwa Kkoo Mara posta Mara kigamboni na Mbezi beach. Kiufupi nitakurudishia gharama kiasi
Hiyo fedha ni nyingi sana mkuu labda kama wataka nunua spea, hiyo ngoma huwezi hata kupigia picha acha kuskiza mziki
And according to Apple hata wao ukiwapelekea na original receipt kwamba you are the legal owner still hawawezi kuifungua hadi umtafute previous user akupe mail and password ya icloud