wakuu nimepata iphone4 second hand sasa kuactivate inataka niwe na email na password za mmiliki wa mwanzo sababu alijiunga icloud na ile security system yao, mi mmiliki simjui wala sijawahi kumsikia...mwenye maujanja kama naweza bypass hiyo process wakuu
asee.... basi ngoja nimtafute mshamba nimpige afu nisepe abaki anahangaika lo!
hamna kuna ndugu yangu cjui kaipata wapi....mambo ya mjini haya...nikamuambia hebu nipe ikifanya kazi ndo nakulipa.....haingaika mtoto wa kiume..peruzi mitandao nione kama kuna uwezekano...imeshindikana...nikaona nisijifungie kwenye box labda watundu wa jf wana info za kubypass....Tena mshamba mwenyewe ndiyo hutompata kabisaa kitu cha kwanza atakuuliza.."sasa line nawekea wapi. napigaje simu, napokeaje simu, miziki naingizaje"! Kwani aliyekuuzia hawezi kupatikana hata kwa mail?
hamna kuna ndugu yangu cjui kaipata wapi....mambo ya mjini haya...nikamuambia hebu nipe ikifanya kazi ndo nakulipa.....haingaika mtoto wa kiume..peruzi mitandao nione kama kuna uwezekano...imeshindikana...nikaona nisijifungie kwenye box labda watundu wa jf wana info za kubypass....
asee.... basi ngoja nimtafute mshamba nimpige afu nisepe abaki anahangaika lo!
asee.... basi ngoja nimtafute mshamba nimpige afu nisepe abaki anahangaika lo!
ifanyie factory reset
njia mojawapo ya kuifungua password inatakiwa atumie computer iliyokuwa inaitumia hiyo simu yenye i tunes kusync files na kuingiza nyimbo, la atumie pc nyingine yenye itunes afanye kitu kinachoitwa hard reset,chomeka simu kwenye pc yenye i tunes shikilia kwa pamoja home button na power button then release power button utaona kinatokea alama ya waya wa usb kwenye screen ya simu na kwenye pc itakuuliza fata maelekezo yote unayotakiwa kufanya kila kitu kwenye simu kitafutika even all passwords na simu itakuwa kama imetoka kiwandani
mkuu hiyo iphone kama inadai apple id hivi, inabidi ujitahidi kuwasiliana na mmiliki wa mwisho wa hiyo simu aitoe hiyo account kwenye icloud ndio uweze kutumia wewe, otherwise, there is nothing u can do there,, ukiReset au kuRestore ios ni sawa na unairudisha katika factory settings tu lakini ikiwaka lazima upitie activation screen. IOS 7 wameimprove security zaidi..wakuu nimepata iphone4 second hand sasa kuactivate inataka niwe na email na password za mmiliki wa mwanzo sababu alijiunga icloud na ile security system yao, mi mmiliki simjui wala sijawahi kumsikia...mwenye maujanja kama naweza bypass hiyo process wakuu
njia mojawapo ya kuifungua password inatakiwa atumie computer iliyokuwa inaitumia hiyo simu yenye i tunes kusync files na kuingiza nyimbo, la atumie pc nyingine yenye itunes afanye kitu kinachoitwa hard reset,chomeka simu kwenye pc yenye i tunes shikilia kwa pamoja home button na power button then release power button utaona kinatokea alama ya waya wa usb kwenye screen ya simu na kwenye pc itakuuliza fata maelekezo yote unayotakiwa kufanya kila kitu kwenye simu kitafutika even all passwords na simu itakuwa kama imetoka kiwandani
Ukishindwa uje nikupe plan B