A allicious Member Joined Jun 3, 2013 Posts 41 Reaction score 4 Nov 29, 2014 #1 wakuu nna receiver hapa media com 910 nikiingia kwenye installation inaomba password, na fundi aliyeiweka simpati, kwa mwenye master code anisaidie pls, natanguliza shukurani!
wakuu nna receiver hapa media com 910 nikiingia kwenye installation inaomba password, na fundi aliyeiweka simpati, kwa mwenye master code anisaidie pls, natanguliza shukurani!
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Nov 29, 2014 #2 jaribu 0000 ikigoma basi peleka kwa fundi ataiformat kwa kutumia receiver nyingine mkuu
A allicious Member Joined Jun 3, 2013 Posts 41 Reaction score 4 Nov 29, 2014 Thread starter #3 0000 nimejaribu imegoma hata 1234 pia imegoma, nilijua na yenyewe ina master code kama mediacom 930 maana ya hii 930 najua ni 9876.
0000 nimejaribu imegoma hata 1234 pia imegoma, nilijua na yenyewe ina master code kama mediacom 930 maana ya hii 930 najua ni 9876.