Mwenye mashindano yake ametoka,we unaenda wap?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,964
Reaction score
5,552
Hapo vip!
Ipo hivi Simba ndio mzaliwa wa kwanza wa soka au mpira wa football hapa Tanzania,Afrika mashariki na kati.

Simba ndio timu peke iliyopo na ambaya imefika na kufauluvkuingia kwenye top ten za CAF kwa miaka yote ila yanga tokea dunia iumbwe haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF.

Club kubwa ni club ambayo ni bora katika bara lake kwa ubora na ukubwa na sio kwenye makombe ya mbuzi ya kupeana kisiasa na kijanjanja.

Sasa ipo hivi kwa ukubwa wa Simba Afrika na Dunia,ni wazi na nikweli yakwamba ndio mzaliwa wa kwanza wapira Tanzania. Na ukubwa wa Mpira sio tarehe ya kuanzishwa kwasababu hata pamba,coastal union ilianzishwa kabla ya Azam,Belaizdad,mamelod sundown n.k ili pamba na coastal ni vitu vidogo sana dhidi hizo tajwa hapo juu.

Sasa ipo hivi yanga anafeli kwasababu amekuwa mpumbavu kutomuheshimu mzaliwa wa kwanza wa mpira ndani ya nchi hii ambayo ni Simba.
Ipo hivi Simba asipofika robo,nusu au final yanga hawezi kufanikiwa maisha yake yote.Mwenye ufunguo wa mpira wa Tanzania ni Simba.
 
Naunga mkono hoja.
 
1771180143040.jpg
 
Hawa watu ndio maana wanaendelea kumlaumu mangungu asa kama akili zao tu ndio hizi pana kazi kweli?
 
Hapo vip!
Ipo hivi Simba ndio mzaliwa wa kwanza wa soka au mpira wa football hapa Tanzania,Afrika mashariki na kati.

Simba ndio timu peke iliyopo na ambaya imefika na kufauluvkuingia kwenye top ten za CAF kwa miaka yote ila yanga tokea dunia iumbwe haijawahi kuingia kwenye top ten za CAF.

Club kubwa ni club ambayo ni bora katika bara lake kwa ubora na ukubwa na sio kwenye makombe ya mbuzi ya kupeana kisiasa na kijanjanja.

Sasa ipo hivi kwa ukubwa wa Simba Afrika na Dunia,ni wazi na nikweli yakwamba ndio mzaliwa wa kwanza wapira Tanzania. Na ukubwa wa Mpira sio tarehe ya kuanzishwa kwasababu hata pamba,coastal union ilianzishwa kabla ya Azam,Belaizdad,mamelod sundown n.k ili pamba na coastal ni vitu vidogo sana dhidi hizo tajwa hapo juu.

Sasa ipo hivi yanga anafeli kwasababu amekuwa mpumbavu kutomuheshimu mzaliwa wa kwanza wa mpira ndani ya nchi hii ambayo ni Simba.
Ipo hivi Simba asipofika robo,nusu au final yanga hawezi kufanikiwa maisha yake yote.Mwenye ufunguo wa mpira wa Tanzania ni Simba.
Biashara ya tarehe 15 ilikuwa inachekesha. Unanunua mechi na magoli matatu unaemtegemea akuvushe nae anauza mechi😁😁😁
 
Simba kwenye hayo mafanikio yake, je amewahi kutwaa kombe gani katika bara hili na ni ukweli kwamba hakuna kombe la robo fainali au la nusu fainali.

Ikumbukwe kwamba ni timu ya Gar Mahia tu ya Kenya katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki iliyowahi kutwaa kombe la washindi la Afrika mwaka 1987.

Wengine wote wanaotamba leo hawajawahi kutwaa kombe lolote la Afrika ila ni kelele tu.

Angalia Gor Mahia wala hawaongelei kombe walilolitwaa kipindi hicho, sasa ingekuwa Simba ndio iliyotwaa kombe kipindi hicho leo hii hili jukwaa lingekuwa linawaka moto na kutoa cheche 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Back
Top Bottom